Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

BLOGERS NA MABOSI WAO WAKISHOO LOVE KWA PICHA

Kutoka
kushoto ni Imani Lwinga Meneja wa Mawasiliani (SBL), Nandi Mwiyombela Meneja
Mahusiano ya Umma (SBL), Ahmad Michuzi Mzee wa Jiachie, Teddy Mapunda Mkurugenzi
wa Mawasiliano (SBL), John Bukuku mzee wa Fullshangwe na Mroki Mroki Father
Kidevu wakipiga picha ya pamoja wakati wa safari yao hii leo ya kuelekea Mkoani
Iringa katika wiki ya maadhimisho ya Maji 2012 ambayo kitaifa inafanyikia mkoani
Iringa na kudhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti ambayo wanafanyia kazi
Teddy, Nandi na Imani huku Mroki, Bukuku na MichuziJr ni timu ya mapacha wa 3
kutoka Blogs ambao hufanya kazi za SBL. Picha hii ilipigwa Mikumi mkoani
Morogoro

No comments :

Post a Comment