Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

SHULE YA MSINGI GILMAN RUTIHINDA WAKABIDHIWA JENGO MAALUM KWA AJILI YA WALEMAVU

Balozi wa heshima wa bangladesh Bw; Sadrudin
Shariff akikata utepe leo kuashiria makabidhiano rasmi ya jengo maalumu kwa
ajili ya watoto wenye walemavu wa akili katika shule ya msingi ya Gilmani
Rutihinda iliyopo katika kata ya Kigogo mansipaa ya Kinondoni jijini Dar es
salaam, pembeni yake kushoto ni Bw. Brad Morrow mfadhili wa jengo hilo.kushoto
ni Bi Rose Rupia mwenyekiti wa kikundi chakuwasadia watoto wenye walemavu wa
akili Kulia afisa wa elimu wa mansipaa ya Kinondoni akifutilia kwa umakini zoezi
hilo (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Mwenyekiti wa kikundi cha kusaidia watoto wenye
walemavu wa akili Bi Rose Rupia akisoma lisala wakati wa makabiziano ya jengo
hilo.
Mkurugenzi wa (IESC) Bw. Brad Morrow akisisitiza
jambo katika hafla ya makabidhiano jengo maalum kwa ajili ya watoto wenye
walemavu wa akili.
Mgeni rasmi Bw Sadrudin Shariff akitoa hotuba
katikati akitoa hotuba kwa wageni waliodhuria hafla ya makabidhiano ya jengo
hilo kushoto Bw. Brad Morrow, akifutiwa Bi Rose Rupia mwenyekiti, kulia katikati
mwalimu mkuu Bi Esther Mwambapa na mwisho kulia ni Bi Flora Petro mratibu wa
elimu kata ya Kigogo.
Baadhi ya wazazi waliodhuria kushudia makabidhiano
ya jengo hilo.
Bw. Sadrudan
Shariff mbele katikati akiwa kwenye picha ya
pamoja na wanakikundi baada ya mabidhiano ya jengo
hilo.

No comments :

Post a Comment