Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI YAZINDULIWA RASMI MJINI IRINGA LEO

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dk. Christina
Ishengoma akipata maelezo kutoka kwa mkurugenzi wa mawasiliano wa Kampuni ya bia
ya Serengeti (SBL) wakati alipotembelea katika banda la kampuni hiyo katika
uzinduzi wa wiki ya maji inayofanyika kwenye uwanja wa Samora mkoani Iringa
kuanzia leo Machi 16 ambapo imeelezwa kwa yatafungwa na Mh Dk.Rais Jakaya
Kikwete Machi 22. Kampuni ya bia ya Serengeti ndiyo wadhamini wakuu wa maonyesho
hayo yakiwa na kauli mbiu ya "Maji kwa usalama
wa Chakula"
, katik picha katikati ni Meneja wa Mahusiano ya Umma Nandi
Miwyombela.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dk Christina Ishengoma
akihutubia wakati wa iringa katika ufunguzi wa maadhimisho hayo.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dk Christina Ishengoma
akipata maelezo kutoka kwa Hamdar Chanzi Mkemia mwandamizi Maabara ya maji
Iringa, kushoto ni Amani Mafuru Kaimu Mkurugenzi wa Maji vijijini Wizara ya maji
na Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi maadhimisho ya wiki ya maji.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dk Christina Ishengoma
akikata utepe kuzindua rasmi maonyesho ya wiki ya maji kwenye uwanja wa Samora
Mkoani Iringa leo, kushoto ni Amani Mafuru Kaimu Mkurugenzi wa maji vijijini
Wizara ya maji.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Dk Christina
Ishengomaakipokea taarifa ya maadhimisho wakati wa uzinduzi wa maadhimisho ya
wiki ya maji kwenye uwanja wa Samora Mkoani Iringa leo, kutoka kwa Amani Mafuru
Kaimu Mkurugenzi wa maji vijijini Wizara ya maji.
Kutoka kushoto ni Elias Amani Afisa wa mauzo (SBL)
Imani Lwinga Meneja Mawasiliano (SBL) Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano wa
kampuni ya bia ya Serengeti SBL na Nandi Mwiyombela Meneja Mahusiano ya Jamii
wakiwa katika picha ya pamoja huku wakionyesha baadhi ya vinywaji
vinavyozalishwa na kampuni hiyo.
Hivi ndivyo vinywaji vinavyozalishwa na kampuni hiyo
kama vunavyoonekana hapa
Kutoka kulia ni Bw. Timbe Mkuu wa mahusiano kutoka
Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Imani Lwinga kutoka (SBL) na Nandi Mwiyombela
kutoka (SBL)
Wadau mbalimbali wamejitokeza mna kutembelea banda
la Kampuni ya bia ya Serengeti kama wanavyoonekana katika picha.
Maadamano yakiingia katika uwanja wa Samora mjini
Iringa.
Wananchi mbalimbali wakiingia kwa maandam,ano katika
uwanja wa Samora.
Kundi la burudani ya Tarumbeya likiongoza maandamano
hayo.
Mabanda mbalimbali wakiwa tayari kwa
maonyesho.
Watoto pia wameonekana wakipita katika mabanda na
kujionea mambo mbalimbali kuhusu maonyesho ya maji.
Makampuni mengi
yanayojishughulisha na sekta ya maji yamejitokeza ili kuonyesha bidhaa zao kama
unavyoona mabanda yakiwa na matanki ya maji.

No comments :

Post a Comment