Rais Jakaya
Kikwete akihutubia katika mkutano na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwenye
Ukumbi wa Diamond Jubilee, kuhusu suluhisho la mgomo wa madaktari. Kushoto ni
Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Idd Simba.
Sehemu ya umati wa wazee
wa mkoa wa Dar es Salaam uliohudhuria mkuatano huo na JK
Mmoja wa Wazee wa Mkoa wa
Dar es Salaam, akiwa na ulepe wa usingizi wakati JK akizhutubia
Makamu wa Rais, Dk.
Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimpongeza Rais Jakaya Kikwete baada ya kumaliza
kuhutubia

JK na viongozi wengine wakiondoka baada kumalizika kwa mkutano |
JK akiongozana na Makamu wake, Bilal kutoka nje baada ya kumalizika kwa mkutano |
JK akiagana na baadhi ya wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam |
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijadiliana jambo na Dk. Bilal baada ya kumalizika kwa mkutano huo |
No comments :
Post a Comment