Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 16, 2012

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete mgeni rasmi katika siku ya utepe mweupe Tanzania

Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma
Kikwete (mwenye traki suti akipokea maelezo kutoka kwa Waziri wa Afya na Usatawi
wa Jamii leo jijini Dar es Salaam Dkt. Hadji Mponda kabla ya kuanza matembezi ya
kuadhimisha siku ya utepe mweupe Tanzania.-Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO.
Mwenekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete
-alievaa traki suti- pamoja na watendaji wengine wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii pamoja na taasisi mbalimbali zinazoshughulikia mpango wa uzazi salama na
afya za watoto wakishiriki kwenye matembezi ya kuadhimisha utepe mweupe nchini .
(kulia ni Mkuu wa Mkoa wa DSM- Said Sadick.- Picha na Mwanakombo Jumaa
-MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete
akikata utepe kuzindua kitabu cha uzazi salama leo jijini Dsm wakati wa
maadhimisho ya suku ya utepe mweupe Tanzania (kulia ni Mkuu wa Mkoa wa DSM Said
Mecky Sadick. Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO
Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete
akipata maelezo katika banda la PSI leo jijini DSM kuhusu shughuli za taasisi
hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya utepe mweupe Tanzania. - Picha na
Mwanakombo-Jumaa-MAELEZO.
Brass bend ya Magereza ikiongoza maandamano
hayo.
wanafunzi wakiwa na mabango

No comments :

Post a Comment