Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, March 15, 2012

kampuni ya tigo yatoa msaada wa kompyuta 48 chuo kikuu UDOM

Tigo imetoa msaada wa kompyuta 48 kwa chuo kikuu cha
Dodoma (UDOM) kama sehemu yakuboresha sekta ya elimu na kusaidia matumizi ya
teknolojia ya habari na mawasiliano(Tecknohama). Hafla ya makabidhiano hayo
imefanyiakaleo katika chuo kikuu cha Dodoma. Kompyuta zilikabidhiwa kwa niaba ya
Tigo namratibu wa Promosheni na Matukio Bwana Edward Shila. Akizipokeakwa niaba
ya chuo,kaimu makamu mkuu mipango, fedha na utawala, Prof.S.A.K.Mlacha
ameshukuru Tigo kwa msaada huo na kusema kuwa kompyuta hizozitasaidia kuboresha
mahitaji ya Tecknohama chuoni hapo. “Ili tuweze kukabiliana na
ushindaniduniani,wanafunzi wanahitaji kuwa na uelewa juu ya kompyuta na
tecknohama,”alisema Prof. Mlacha. “Msaada huu utawaunganisha na taarifa na
tecknolojia kamanjia ya kusoma na kupata taarifa ya yale yanayoendelea katika
masomo yao,”alisema. Bw. Shila alisema, “Teknolojia imekuwani sehemu kubwa ya
maisha yetu, elimu na kazi. Tigo imefurahia kutoa komputa navifaa vingine kwa
viongozi wetu wajao.” Msaada huu ni muendelezo wa msaada wavitabu, vilitolewa
katika fani ya uhandisi,udaktari na fani nyinginezo ,ambavyovilikabidhiwa katika
chuo kikuu cha Dodoma Desemba mwaka jana na kuhifadhiwa katika maktaba tano za
chuohicho. Kuhusu Tigo: Tigo ni mtandaowa simu za mkononi ya kwanza Tanzania,
ilianza biasharamwaka 1994 na ni mtandao wa simu Tanzania wenye ubunifu wahali
ya juu na bei nafuu kupita zote nchini. Tigo ni sehemuya MillicomInternational
Cellular S.A(MIC) na hutoa huduma za simu za mkononi kwa gharama nafuu
nainayopatikana maeneo mengi kiurahisi kwa wateja zaidi ya milioni30 katika
masoko 13 yanaoibuka Afrika na Amerika ya Kusini. Msingi wamafanikio ya Tigo ni
uzingatiaji wa mikakati mitatu ambao,ni Gharamanafuu, Uwepo na
Upatikanaji.Tunajenga dunia ambapo huduma za simu ni za bei nafuu,zipo na
zinapatikana kila mahali na kwa wote. Hii inahakikishakwamba wateja wetu
wanapata huduma bora zaidi kwa bei nafuu kulikozote katika mikoa yetu 26,
Tanzania Bara na Zanzibar. Kwa taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz Imetolewa na:Alice Maro •
PR-Tigo • Simu 255 715 554501

No comments :

Post a Comment