Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 9, 2012

MKUTANO WA JK NA WAZEE ULIOKUWA UFANYIKE LEO SASA NI KESHO JUMAMOSI

Rais Dk. Jakaya Kikwete
Mkutano wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa Mkoa wa
Dar es Salaam uliopangwa kufanyika leo, Ijumaa, Machi 9, 2012, umeahirishwa hadi
kesho, Jumamosi, Machi 10, 2012. Mkutano huo umeahirishwa ili kutoa nafasi kwa
Mheshimiwa Rais kufanya mashauriano zaidi na wadau mbali mbali kuhusu suala
ambalo Mheshimiwa Rais atalizungumzia kwenye mkutano huo. Kama ulivyokuwa
mkutano ulioahirishwa leo, mkutano wa kesho utafanyika kwenye Ukumbi wa Diamond
Jubilee kuanzia saa tano asubuhi.

No comments :

Post a Comment