Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, March 9, 2012

WAZIRI KUZINDUA TIGO PESA YA TWIGA STARS

Naibu Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangala anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye
uzinduzi wa kuchangia timu ya Taifa ya Wanawake (Twiga Stars) kupitia Tigo
Pesa.
Uzinduzi huo wa akaunti maalumu ya
Twiga Stars kupitia mtandao wa Tigo utafanyika kesho (Machi 10 mwaka huu) saa 5
kamili asubuhi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, na unafanywa chini ya uratibu wa
kampuni ya Edge Entertainment.
Twiga Stars iko kwenye mashindano
ya Kombe la Afrika kwa Wanawake (AWC) ambapo Mei 26 mwaka huu itacheza na
Ethiopia jijini Addis Ababa.

No comments :

Post a Comment