Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, March 13, 2012

WASANII WA MNANDA, MDUARA, EXTRA BONGO NA IZO BUSINESS WATIKISA NDANI YA DAR LIVE

Msanii Easy Man akikamua stejini. WASANII Dogo Mfaume,
Easy Man na kundi la Jaguar jana walifunika vilivyo kwa upande wa Mnanda huku
Offside Trick wakisindikizwa na Hammer Q, AT na Shilole wakiangusha bonge la
burudani na kuwarusha vilivyo wapenzi wa Mduara waliofurika katika ukumbi wa
maraha wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem. Bendi ya muziki wa dansi ya Extra
Bongo nayo haikuwa nyuma kukonga nyoyo za mashabiki wakati washiriki wa shindano
la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna wakitikisa na kuwaacha midomo wazi wapenzi wa
shangwe mahali hapo. Msanii Izo Business aliyepanda stejini kama ‘surprise’ naye
alifanya kweli kwa kuwarusha mashabiki na songi lake kali la
Ridhiwan.
AT na
Shilole wakiwapagawisha mashabiki.
Msanii
aliyepanda stejini kama 'suprise' Izo Business akiwasabahi mashabiki kwa songi
lake la Ridhiwan.
Washiriki wa
shindano la Vaa, Imba na Cheza kama Rihanna walioingia sita bora wakiwa katika
pozi.
Nyomi iliyoitikia shangwe hizo

No comments :

Post a Comment