Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Saturday, March 10, 2012

YATIMA YA MTUNISI KUSHIKILIA SOKO LA FILAMU


MSANII wa filamu nchini Nice Mohamed 'Mtunisi' yupo mbioni kutoka
nafilamu
yake mpya itakayokwenda kwa jina la Yatima akizungumza na safuhii
msanii huyo
aliyetamba na filamu ya Clinic Love mwishoni mwa mwakajana
amesema yeye huwa
akulupuki kutoa kazi zake.Anazifanya kwa umakini na ubora
wa hali ya juu ndio
maana wapenziwengi wanaulizia kazi zangu kabla azijatoka'
alisema mtunisiKama
mnavyojua katika familia zetu watoto yatima wamekua
wakiwekwakando mimi
nimeliweka wazi kabisa katika filamu hii ambayo ana
uwakikaitafanya vizuri na
itakuwa filamu yake ya kwanza kutoa katika
Kampuniya Steps Entatainment ya
jijini Dar es salaam kwa mwaka huu
2012,Aliongeza kwa kusema washabiki wa kazi
zake kukaa mkao wa kula kwani
mambo yameshaiva kwa sasa anamalizia mambo madogo
madogo tu.

No comments :

Post a Comment