Baadhi ya waandamanaji waliojitokeza katika Kampeni ya Tigo Tuchange itakayoanza saa 5 mpaka 6 kwa kutumia tigo rusha pesa zote zitakazopatikana kwa mda huo zitanunua madawati kwa wanafunzi wa Tanzania 
DKT, Shukulu Kawabwa Katikati akiwa na Ofisa Uhusiano wa Kampunni ya Tigo Alice Maro kushoto na Mkurugenzi wa Trinity Promotions Limited, Sauda Simba Kilumanga wakati wa kampeni ya Tigo Tuchange
No comments :
Post a Comment