Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Monday, July 2, 2012

MABONDIA WA TANGA WAMKUMBUKA BONDIA MAREHEMU MAGOMA SHABANI NA KUMCHANGIA KWA KUTUPIANA MASUMBWI


Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point
Baadhi ya Mashabiki waliojitokeza katika mpambano wa masumbwi kwa ajili ya kumuenzi bondia Magoma shabani yaliyofanyika jana katika Mkoa wa Tanga.Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com
Bondia mkokwe wa siku nyingi Chales Muhilu 'Spins' ambaye kwa sasa ni Kocha wa Mkoa wa Tanga akifatilia mashindano hayo jana. Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com
Bondia Ramadhani Mbwana kushoto akipambana na Patrick Kimweri wakati wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika Mkoa wa Tanga jana kwa ajili ya kumuenzi na kumchangia bondias Marehemu Magoma Shabani aliefariki Dunia Kimweri alishinda mchezo huo kwa point Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com
Bondia Yusufu Ally kushoto na Adam Yusufu wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mchezo huo kwa ajili ya kumkumbuka na kuchangia Bondia Magoma Shabani alifariki Dunia hivi karibuni Mkoa wa Tanga Adamu Yusufu alishinda kwa Point mchezo uho Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com
MABONDIA  patrick kimweri na ramadhani mbwana wakioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi wakati wa mpambano wa kumkumbuka na kumchangia bondia Magoma Shabani Aliefariki Dunia Picha na www.superdboxingcoacvh.blogspot.com

No comments :

Post a Comment