Mbunifu wa mavazi wa kimataifa Mustafa akimkabidhi zawadi ya gauni
lenye thamani ya shilingi 300,000 Mshindi wa pili wa Miss Dar
Intercollege 2012 Jamila Hassanofisini kwake leo, anayeshuhudia ni
mratibu wa shindano hilo, Dina Ismail.
Mbunifu
wa mavazi wa kimataifa Mustafa katika picha ya pamoja na wawakilishi
wa kitongoji cha Miss Dar Intercollege katika shindano la Miss Higher
Learning 2012, Hilda Edward na mshindi wa pili Jamila Hassan pamoja na
mratibu Dina Ismail ofisini kwake leo,
No comments :
Post a Comment