Hii ilikuwa siku ambayo Argentina ilifanikiwa kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia mwakani Afrika Kusini, sasa hawa ni mashabiki wakishangilia, mimi nilistaajabu nikasema si vibaya nikawauliza wadau, jamani huku ni kushangilia gani?
OFISI YA MSAJILI WA HAZINA YATWAA TUZO YA UANNDAAJI BORA WA TAARIFA ZA FEDHA
-
Na Mwandishi wa OMH
Dar es Salaam. Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH) imeibuka Mshindi wa Pili –
tuzo za Uandaaji Bora wa Taarifa za Fedha 2024 (Kundi la I...
12 hours ago
No comments :
Post a Comment