
Mgombea wa Kamishina wa watoto katika Shirikisho la Mpira wa Kikapu Taifa Selemani Semunyu (kushoto) mtangazaji wa Radio Times FM akirundisha fomu ya kugombea nafasi hiyo Dar es Salaam kwa Ofisa Kumbukumbu Mwandamizi wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT) Adola Said.(Picha na Rajabu Mhamila)

Selemani Semunyu wa pili kushoto, akizungumza neno na mdau mkuu wa viwanjani mwenye tisheti ya njano, pamoja na Adamu huseni mwenye tisheti nyekundu na Hussein Musa Mhassa wote wafanyakazi wa Radio Times FM.
No comments :
Post a Comment