
Huyu ni Wycleff Jean akiwa amevua shati akifanya makamuzi katika MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2009 tamasha lililodhaminiwa na ZAIN

Sasa hapa Akon na Wycleff Jean sijui walikuwa wanashindana kuvua nguo? lakini ilikuwa ni mizuka ya Show Babkubwa

Ebwana Jamaa alifunika ile mbaya

Kama vile anaimba Gheeeeeeeeto

Ebwana amini usiamini jamaa alikuwa anatembea katika vichwa vya watu huku akiimba

Huyu ni Msenegal aliyelowea Marekani akikamua vilivyo

Wycleff akkiwa na sare ua Nyumbani

Akon uzalendo ulimsinda na kuamua kuvamia steji na kuimba na Wycleff

Wanamuziki wa Bongo Manaona wanamuziki wa Mbele, jamani jifunzeni kutumia vifaa

Wycleff AKiimba na kupiga ngoma

Wycleff Jean akiimba na kupiga Gitaa

Shoo ilikuwa Show kweli usifanye Masihara

Hapa wasanii wote waalikwa wakiimba wimbo wa "WE ARE THE ONE" wa Michael Jackson ikiwa ni sehemu ya kutoa heshima kwa mkali huyo wa POP Duniani,

Huyu alikuwa ni mtoto wa Lacky Dube akimuwakilisha Baba yake

Ebwana Siunajua tena wasanii wakishajua Akon na Wycliff wapo ndani, ilikuwa ni full kubanjuka

Nameless akiteta na fans wake baada ya kuchukua Tuzo

Blue 3 kazini

Ebwana Blue 3 nao si mchezo, waliwakilisha Uganda

Watu Shemejiiiiiii

mwanamuziki wa Kenya Amani akiwajibika

Ebwana Brother katika majukwaa ya kimataifa huwa hafanyi makosa

Mzee wa Komesho anakamua

Huyu ni Wahu akifanya vitu vyake Stejini

Ukumbini mambo yalianza hivi

Akon Akila pozi kwa ajili ya picha

Akon akipiga Interview

Huyu ni Akon aki Holla na Fans wake

Nameless na wife wake Wahu wakitinga ukumbini kwa pozi

Ebwana ingekuwa Arusha Ungesikia.. Chalii yangu amekuja na tororoo

Hapa Wycleff anapiga interview

Mkali toka New Jersey Wyclef Jean akitinga ukumbini kwa Mbwembwe

Shaa aki Holla na fan wake

Shaa akihojiwa na moja ya Radio zilizokuwa zikirusha Live

Huyu anayecheka ni Shaa akihojiwa kulikoni amevaa nguo inayofanan na msaa wa Blue 3 wa Uganda

De` Banji toka Nigeria nao wakipiga interview kabla ya kuzama ukumbini

Mkali wa Twister toka Uganda Navio naye akivuta hatua katika Red Capet

Mzee wa Comarcial akifanya interviw na media za Kenya

Ebwana AY mtoto huyoo naona anataka kumhug

Huyu ni AY moja ya Nominees katika tuzu aki Holla na fans wake

hapo vipi..? Hapo Sawa...

Huyu ni Profesa Jay wa Mitulinga kama mamtoni mwanangu ana Halla na mashabiki katika Red Capet kabla ya kutinga ndani

Haya kina nanii si masista Duu ni wasanii jamani

Vanessa Bernad alikuwa anaona kama ndoto vile na gauni lake jekundu ndani

Hawa ni mashabiki wakisubiri kuwalaki wasanii langoni

watu weeeweeeeeeeeeee

Hali ilivyokuwa nje ya uwanja mashabiki wakianza kuingia, Totozi zilikuwa za kwamwaga yaani ilikuwa kama Ulaya vile

Swala la ulinzi na usalama wenzetu wanajali kuliko jambo lolote wa Tanzania mmeona?

Hali ilivyokuwa uwanjani kabla ya shughuli yenyewe kuanza

Hii ni Kenya mdau akielekea kunako tamasha

Ofisa Uhusiano na Mawasliano wa kampuni ya Zain Bi.Celin Njuju Chungu (kulia) na mratibu wa masoko maeneo ya mijini Ellen Lupilli, mshindi wa wa shindano la tuzo za muziki kutoka Tanzania Vanessa Bernad na mwanahabari Babra Hassan wakiwasili nchini Kenya...

Mpiga picha wa viwanjani.blogspot.com pamoja na magazeti ya Majira, Dar Leo na Spoti Starehe akitinga ndani ya Kenya Airways tayari kwa kufuatilia kinachoendelea katika tamasha la MTV AFRICA MUSIC AWARDS 2009
No comments :
Post a Comment