
Waimbaji wa kundi la Zanzibar Modern Taarab Mwanamkuu Zayumba kushoto na Salma Kassim wakiimba moja ya nyimbo zilizoko kwenye albam mpya ya poa Mpenzi ya kundi hilo kwenye ukumbi wa Mango Garden Dar es Salaam juzi usiku (Super D Mnyamwezi)

Wanamuziki wa Zanzibar Star wakiwajibika wikiendi hii

Mwanamkuu Zayumba akiimba katika moja ya maonyesho yao wikiendi hii

Mashabiki wakirusha roho
No comments :
Post a Comment