Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Sunday, July 1, 2012

WASANII WA BONGO MOVIE WATOA MSAADA WA VYANDARUA HOSPITALI YA BOMBO JIJINI TANGA

 Mwenyekiti wa Wasanii wa Bongo Movie, Jacob Steven 'JB' akikabidhi msaada wa vyandarua kwa Muuguzi Msaididi wa Hospitali ya Rufaa ya Bombo jijini Tanga, ambaye pia ni mwakilishi wa   Hospitali hiyo, Bi. Halima Msengi (kushoto) wakati wasanii hao walipotembelea hospitali hiyo na kujioneea hali halisi ya uhaba wa vyandarua katika baadhi ya wodi. Msaada huo umekabidhiwa hospitalini hapo mapema leo asubuhi kwa hishani ya kampuni ya Bia Tanzania Kupitia kinywaji Chake cha Grand Malt ambao ni wadhamini wakuu wa Tamasha la Filamu za Kitanzania (Bongo Movie) linalozinduliwa leo hii kwenye Viwanja vya Tangamano Jijini Tanga. Picha na Othman Michuzi
 Wasanii wa Bongo Movie wakiwa wamezunguka kitanda cha Mmoja wa wagonjwa, Mama aliyejifungua watoto Mapacha katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Bombo Jijini Tanga mapema leo asubuhi wakati walipofika kutoa Msaada wa Vyandarua kwa hisani ya Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Kinywaji chake cha Grand Malt.
 Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Mama Consolata Adam akimjualia hali Mmoja wa kina Mama waliojifungua leo kwenye wodi ya Wazazi,Ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Bombo,Jijini Tanga.
 Mwenyekiti wa Wasanii wa Bongo Movie,Jacob Steven "JB" pamoja na Katibu wake,Issa Mussa "Claud" wakisaidiana kufunga chandarua kwenye moja ya kitanda cha Hospitali ya Bombo,jijini Tanga mapema leo asubuhi.

No comments :

Post a Comment