WASIRA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 53 YA KIFO CHA KARUME
-
Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira leo
Aprili 7, 2025 ameshiriki Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 53 ya kifo
cha ...
10 hours ago
Wallahi,nilifurahi siku hii kaka yangu Ivo alipofunga ndoa.....mbali na yote kwakweli waliweza kuchagua ukumbi maana tulijimwaga kila kona kwa raha zetu
ReplyDeletenilikuwa kwenye kamati ya vinywaji,kwakweli sijaona wahudumu wanaojituma kama wale
Heshima ya mahali choo,ukumbi ule mwanzo mwisho maliwatoni kusafi,kwakweli wamenifurahisha
mwenye hiana alambe sumu ila kaka yetu Ivo ndo kashaoa