
Ofisa Mkuu wa Mahusiano wa kampuni ya Vodacom, Bob Collymore (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya milioni.9 kwa mshindi wa mashindano ya urembo wa Vodacom miss Tanzania Mariam Gerald, wakati wa sherehe za kumpongeza mrembo huyo na kugawa zawadi kwa washindi iliyofanyika Dar es salaam mwishoni mwa wiki.(Picha na Rajabu Mhamila)

Meneja wa Bia ya Redds Kabula Nshimo(kulia)akimkabidhi Miss Tanzania ambaye aliibuka pia mshindi wa Miss Photogenic Miriam Gerald katika hafla iliyofanyika Giraff Hotel, Dar es Salaam. Picha na Rajabu Mhamila a.k.a Super D Mnyamwezi
No comments :
Post a Comment